#michezo Instagram Photos & Videos

michezo - 7.2k posts

Top Posts

 • #Michezo;
ALI KIBA HUYOO COASTAL UNION
.
Msanii nguli wa kizazi kipya @officialalikiba tayari ndani ya kikosi cha Coastal Union.
.
Mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga Steven Mnguto amethibitisha kumsajili @officialalikiba na kuongeza kwamba Ali Kiba hajaenda kuichezea Coastal Union kwa sababu ya maslahi bali mapenzi yake kwenye mchezo huo.
 • #Michezo ;

 • 1,023 14 27 July, 2018

Latest Instagram Posts

 • KIKOSI CHA SIMBA SC vs YANGA SC

1-Aishi Manula
2-Zana Coulibaly
3-Mohamed Hussein
4-Juuko Murshid
5-Pascal Wawa
6-James Kotei
7-Jonas Mkude
8-Clatous Chama
9-John Bocco
10-Meddie Kagere
11-Emmanuel Okwi

SUBs
-Deo Munishi Dida
-Nicholas Gyan
-Yusuph Mlipili
-Mzamiru Yassin
-Hassan Dilunga
-Haruna Niyonzima -Rashid Juma
#michezo #sports #SimbaSC
 • KIKOSI CHA SIMBA SC vs YANGA SC

  1-Aishi Manula
  2-Zana Coulibaly
  3-Mohamed Hussein
  4-Juuko Murshid
  5-Pascal Wawa
  6-James Kotei
  7-Jonas Mkude
  8-Clatous Chama
  9-John Bocco
  10-Meddie Kagere
  11-Emmanuel Okwi

  SUBs
  -Deo Munishi Dida
  -Nicholas Gyan
  -Yusuph Mlipili
  -Mzamiru Yassin
  -Hassan Dilunga
  -Haruna Niyonzima -Rashid Juma
  #michezo #sports #SimbaSC
 • 44 0 2 hours ago
 • KIKOSI CHA YANGA SC KINACHOANZA DHIDI YA SIMBA SC

1.Ramadhani Kabwili
2.Paul Godfrey
3.Gadiel Michael
4.Andrew Vicent Dante
5.Kelvin Yondani
6.Abdalah Shaibu 
7.Feisal Salum 
8Papy Tshishimbi
9.Heritier Makambo
10.Amis Tambwe
11.Ibrahim Ajibu 
BENCHI

Klaus Kindoki
Juma Abdul
Mohamed Issa Banka
Juma Makapu
Mrisho Ngassa 
Haruna Moshi
Matheo Anthony

Mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara Mechi itaanza saa 10:00 jioni .
#sports #michezo #yanga #SimbaSC #yangavssimba

 • 37 0 2 hours ago
 • Yanga Sc wanakibarua kizito, bora upewe adhabu yakubeba zege,Kwenye dumu la lita 50 kutoka "BUZA" mpaka "MBEZI MWISHO" 😀😀😀 Kuna Mzee alizungumza kwenye kijiwe cha Kahawa. ✋ HII IMEKAAJE WASHABIKI WA SOKA???? #Sokaletu #Michezo

 • 122 4 15 hours ago
 • #MICHEZO: Barcelona imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake, Ernesto Valvede hadi mwishoni mwa msimu wa 2019/2020 huku kukiwa na kipengele cha kurefusha zaidi mkataba huo.
 • #MICHEZO : Barcelona imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake, Ernesto Valvede hadi mwishoni mwa msimu wa 2019/2020 huku kukiwa na kipengele cha kurefusha zaidi mkataba huo.
 • 3 0 17 hours ago
 • #MICHEZO Mwamuzi Hance Mabena kutoka mkoani Tanga, ameteuliwa kuchezesha pambano la Simba na Yanga kesho. Atasaidiwa na Mohammed Mkono na Kassim Mpanga wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Elly Sasii.

 • 2 0 17 hours ago

 • 12 1 21 hours ago
 • DISMAS TEN AWAAMBIA UKWELI AZAM TV

Msemaji wa klabu ya Yanga Dismas Ten amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuiunga mkono timu yao itakapokuwa ikipepetana na watani zao Simba

Akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya klabu hiyo, Ten amesema wanahitaji nguvu ya mashabiki kesho ili kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu

Ten amesema muda wa mchezo wa kesho ni saa kumi kamili jioni na viingilio VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B na C ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko Tsh 7,000/- Katika hatua nyingine Ten amewataka Azam TV kuitendea haki timu hiyo kwani wamekuwa wakichagua matukio ya kurudia kwenye michezo ambayo Yanga iko dimbani "Tulipocheza na Coastal Union kuna tukio mlinda lango wa Coastal Union alidakia mpira ndani ya nyavu lakini tukio hilo halikurudiwa kabisa," amesema "Makambo alifunga bao safi katika mchezo dhidi ya Coastal lakini tukio hilo halikupewa uzito ukilinganisha na tukio la Ninja" "Aidha katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania Yondani alifanyiwa tukio baya sana lakini halikuonyeshwa"

@dismasten #yangavssimba #AzamTVApp #azamsports2 #SisiNiSoka #michezo

 • 293 25 21 hours ago
 • #MICHEZO: Barcelona imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake, Ernesto Valvede hadi mwishoni mwa msimu wa 2019/2020 huku kukiwa na kipengele cha kurefusha zaidi mkataba huo.
 • #MICHEZO : Barcelona imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake, Ernesto Valvede hadi mwishoni mwa msimu wa 2019/2020 huku kukiwa na kipengele cha kurefusha zaidi mkataba huo.
 • 5 0 23 hours ago
 • #MICHEZO Mwamuzi Hance Mabena kutoka mkoani Tanga, ameteuliwa kuchezesha pambano la Simba na Yanga kesho. Atasaidiwa na Mohammed Mkono na Kassim Mpanga wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Elly Sasii.
 • #MICHEZO Mwamuzi Hance Mabena kutoka mkoani Tanga, ameteuliwa kuchezesha pambano la Simba na Yanga kesho. Atasaidiwa na Mohammed Mkono na Kassim Mpanga wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Elly Sasii.
 • 10 0 23 hours ago
 • ⛳ Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeridhia ombi la Yanga la kuahirisha kusikiliza shauri dhidi ya Abdallah Shaibu kwa vile wakati anapata mwito wa kuhudhuria alikuwa mkoani,sasa shauri dhidi yake litasikilizwa katika kikao kijacho, na Kamati haitapokea udhuru wowote isipokuwa kama atakuwa na majukumu katika timu ya Taifa.
.
.
.
⛳ Shaibu aliitwa katika kamati hiyo februari 10 mwaka huu baada ya Bodi ya Ligi kupeleka malalamiko dhidi yake lakini Shaibu hakwenda katika kikao hicho kutokana na kuwa na Timu yake ya Yanga nje ya Jiji la Dar es Salaam kwa michezo ya Ligi kuu Tanzania bara. #Michezo #Sokaletu #Tff - @boaz_mwakasege

 • 44 0 23 hours ago
 • BREAKING NEWS: ATHANAS MDAMU "MESSI" ATUA KARIOBANGI SHARKS -KENYA.
.
.
.
⛳Mchezaji Athanasi Mdamu ametua kunako klabu ya Kariobangi Sharks ya Kenya kwa kandarasi ya miaka mitatu (3).
.
.
.
⛳Athanas amekwenda Kenya baada ya klabu ya Kariobangi Sharks kumuona na kumpenda kupitia michuano ya *SPORTPESA CUP 2019* iliyofanyika Uwanja wa Taifa-Dsm.
.
.
.
⛳Viongozi wa Sharks waliwasiliana na Klabu na baadae kumruhusu mchezaji huyo aende akaongeze maarifa kwenye soka kwa manufaa yake na Taifa letu.
.
.
.
⛳Hii ni mwendelezo wa program ya Singida United kuwaruhusu wachezaji kwenda kucheza soka nje ya nchi pale tu wanapopata timu kama ambavyo mkataba wa timu na mchezaji unavyoeleza.
.
.
.
⛳Huyu ni Athanas amekwenda Kenya, tunategemea mchezaji mwingine kuondoka siku za karibuni kwenda kucheza barani ulaya na taratibu zake zote zimeshakamilika.
#Michezo #Sokaletu #Usajili

 • 116 8 15 February, 2019
 • ⛳ Hapa mnielewe Masela tukianza na Eneo la Kiungo kwa Timu zote Mbili.. "IBRAHIM AJIB V/s CHOTA CHAMA" wote ni OFFENSIVE midfielder nikimaanisha viungo nyumbulifu wenye majukumu yakutoa assist nakupeleka Timu Mbele, kila mmoja anaubora wake nakiwango chake, Tutegemee kuona Soka Safi na pasi zilizoenda Shule. ⛳
.
.
.
⛳"JONAS MKUDE V/s FEI TOTO" Wote ni DEFENSIVE Midfielder yaani viungo wakabaji wanaofanya assist kutoka kwa mabeki, japo Feisal nikiuongo anayependa kuupaka rangi nakutoa udambwiudambwi mwingi, upande wa MKUDE Huwa hana nyingi anakaba nakuachia, Eneo hili Tutashuhudia Maajabu makubwa ✊⚽⛳
.
.
.
⛳ FOWARD LINE. Makambo Vs Kagere, Eneo lisilo na dir dare, tukianza na Mshambuliaji "Heritie Makambo" yupo smart kiakili na kimaamuzi muda wowote anatupia kambani iwe kwa mguu au kwakichwa, ILA "Meddie Kagere" naweza kusema anazaidi ya Usmart tunaouzungumzia anauwezo wakuscore katika Eneo ambalo hutarajii..anajua kupiga, anafika katika Eneo lake muda wote. - Hapa pia Tutegemee Kuona Maajabu makubwa mnoo!!
@boaz_mwakasege ⛳#Michezo #Sokaletu #Sisinisoka

  @boaz_mwakasege#Michezo #Sokaletu #Sisinisoka
 • 102 0 15 February, 2019
 • Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Alexander Lacazzete amewaomba radhi mashaiki wa Arsenal kwa kitendo kibaya alichokifanya katika mechi ya jana cha kumpiga kiwiko moja ya mabeki wa timu ya Bates usiku wa jana na kusababisha apewe kadi nyekundu. (SWIPE LEFT KUONA TUKIO HILO)
-
-
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Lacazete ameeleza kuwa hakupaswa kufanya alichofanya, alitakiwa kuwa mtulivu na ameiangusha timu yake kwa yale aliyoyafanya jana lakini wasikate tamaa kwani wana dakika 90 nyingine za mechi ya marudiano itakayochezwa Katika Dimba la Emirates siku chache zijazo.
-
-
#Arsenal #lacazette #UEL #Europaleague #Konceptsports #Michezo

 • 36 0 15 February, 2019
 • #MICHEZO: Kocha wa klabu ya Atletico Madrid, Diego Simeone amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi majira ya joto ya mwaka 2022.
 • #MICHEZO : Kocha wa klabu ya Atletico Madrid, Diego Simeone amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi majira ya joto ya mwaka 2022.
 • 4 1 14 February, 2019